George W. Bush

George W. Bush

Rais Bush, mnamo 2003

Rais wa Marekani
Aliingia ofisini 
Januari 20, 2001
Makamu wa Rais Dick Cheney
mtangulizi Bill Clinton
aliyemfuata Barack Obama

tarehe ya kuzaliwa 6 Julai 1946 (1946-07-06)
utaifa American
chama Republican
ndoa Laura Welch (m. 1977–present) «start: (1977-11-05)»"Marriage: Laura Welch to George W. Bush" Location: (linkback://sw.wikipedia.orgview_html.php?sq=Anthony Fauci&lang=sw&q=George_W._Bush)
watoto Barbara Bush (b. 1981)
Jenna Bush
signature
tovuti http://www.georgewbush.com

George Walker Bush (En-us-George Walker Bush.ogg /ˈdʒɔrdʒ ˈwɔːkər ˈbʊʃ/ (info), alizaliwa 6 Julai 1946) alikuwa rais wa Marekani tangu mwaka 2001 mpaka mwaka 2009. Yeye ni mwenyeji wa jimbo la Texas alipokuwa gavana kabla ya kugombea urais.

George W. Bush ni mwana wa rais George H. Bush aliyetawala Marekani kati ya miaka 1989 - 1993. George W. amemwoa Laura Bush wana mabinti mawili.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search